Thursday, April 17, 2008

Tumetoka mbali..




Hapa nipo na washikaji zangu wakubwa sana enzi zile wakati tunasoma shule moja inaitwa Ununio Boyz. Jamaa mwenye chupa sio kwamba anakunywa soda ni juisi ya sh.50 enzi hizo ukionekana na chupa hiyo unaonekana mtoto wa tajiri, yeye anaitwa Nawanda. Mwenye balakashia
ndiye mdau mkubwa wa blog hii anaitwa Ally Abdallah, tuko naye pamoja tunacheki laifu. Kwa nyuma ni jamaa mmoja mpole sana lakini alikuwa kichwa anaitwa Haidar sasa hivi nadhani yuko Bukoba. Jamani tumetoka mbali...

3 comments:

Anonymous said...

ni kweli kaka mmetoka mbali sana. Kumbe ulisoma na huyu mshkaji niliyezoa kumuita 'Mi mimi Msomaji mwenzenu, wasiliana nami kwa ally@hotmail.com' wakati mwingine. TEHE TEHE TEHE...
Shaluwa hapa.
Nawakilisha

Anonymous said...

kusema ukweli washkaji mko juu si kitoto.Mi nawatakia kila la heri au sio?

Anonymous said...

MH dogo wa pmni kum aalikuwa mfupi sana, yot khri waz ushirikiano kama kawaida!