Saturday, May 3, 2008

Mr Chenge na mai waifu wake!

Watu bwana, eti wamemzushia mr vijisenti kuwa kafa, afe halafu vijisenti vyake atatumia nani? Nyie mnafanya utani kweli. Lakini bwana tuende mbele na kurudi nyuma, huyu mzee yuko kwenye bad taimu, hadi watu wanamzushia kifo ujue wamemchoka! Mi simo.

No comments: