Mzaliwa wa kijiji cha Mlalo, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Nimeoa na nina watoto wawili.
Taaluma yangu ni uandishi wa habari ambayo nimeipata katika Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) ambayo iko chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kiwango changu ni Stashahada ya Juu.
Nimeanza kazi ya uandishi wa habari tangu 2005. Kupitia blogu hii nitatumia elimu yangu kuwapatia kile ambacho naamini mnastahili kukipata ili maisha yenu yaweze kuwa bora zaidi.
No comments:
Post a Comment